Msanii Juma Jux ametangaza rasmi kwamba kwa sasa yuko kwenye penzi jipya.
Jux ambaye maisha yake ya mahusiano ameyaweka siri kwa mda tangu atengane na msanii mweza Vanesa Mdee amepachika picha inayomuonyehs akiwa na mrembo kwenye gari na kuweka caption inayosema ‘’I love You”.
Hata hivyo picha hiyo inaonyehsa tu miguu ya mrembo huyo huku mashabiki wakionyesha kiu cha kumtambua mrembo huyo.