Home dunia Sasa Utajulishwa Mtu Akichukua Screenshots Za Chats Zenu Facebook

Sasa Utajulishwa Mtu Akichukua Screenshots Za Chats Zenu Facebook

157
0

Mtandao wa Facebook Messenger sasa utakupa taarifa wakati woowte mtu unaye chat naye atakapo chukua screen shot ya mazungumzo yenu katika chats.

Mmiliki wa mtandao wa Facebook Mark Zuckerberg ametangaza hili katika moja wapo ya mabadiliko mapya katika mtandao wa Facebook Messenger yanayolenga kuboresha utumizi wake.

Mabadiliko haya yataweza kuzuia kusambazwa kwa mazungumzo ya siri baina ya watu wawili bila ya mtu kujua.

Previous articleJux Atangaza Penzi Jipya
Next articleDrake Asita Kumfuatilia Rihanna Mitandaoni Baada Ya Mimba
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here