Msanii Drake amezua gumzo katika mitandao ya kijamii, baada ya kuwa unfollow Rihanna na pamoja na mpenzi wake ASAP Rocky kwenye mitandao ya kijamii, siku chache tu baada ya Rihanna kutangaza ujaa uzito wake.
Itakumbukwa kwamba Drake ashawahi kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na Rihana na tukio hili limekua likitafsiriwa na mashabiki wa mziki kama wivu wa mapenzi.
Hata hivyo kulingana na taarifa za punde katika mtandao wa twitter, Drake amerudi kum’follow tena ASAP Rocky lakini hadi kufikia sasa bado hajamfollow tena Rihanna.