Home BURUDANI Zuchu Asema Hili Kuhusu Mapenzi Kati Yake Na Diamond Platnumz

Zuchu Asema Hili Kuhusu Mapenzi Kati Yake Na Diamond Platnumz

387
0

Msanii Zuchu amejitokeza kukana madai kwamba yuko kwenye uhusiano wa kimapenzi boss wake ambaye ni msanii Diamond Platinumz.

Zuchu ameweka wazi kwamba yeye na Diamond Platinumz wana mahusiano ya kikazi pekee kama boss na mfanyikazi wake na hakuna uhusiano wowote wa kimapenzi kama invyodaiwa kwamba wanakaribia kufunga ndoa.

Kulingana na Zuchu ni kwamba amekua akimpenda Diamond Platnumz kama mwanamziki kabla hata ajiunge na WCB.

Previous articleDrake Asita Kumfuatilia Rihanna Mitandaoni Baada Ya Mimba
Next articleMaonyesho Ya Maisha Ya Bob Marley Nchini Uingereza
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here