Home BURUDANI Diamond Atumbuiza Katika Tamasha La Globalspin

Diamond Atumbuiza Katika Tamasha La Globalspin

162
0

Msanii toka Tanzania Diamond Platnumz ameweka rekodi ya kuwa msanii wa kwanza kutoka Afrika Mashariki kutumbuiza kwenye show maalum iliyoandaliwa na waandaaji wa tuzo za Grammy inayokwenda kwa jina la GlobalSpin

Show hii ambayo inaruka kwa njia ya mtandao kupitia akaunti za YouTube, Twitter, Facebook za Grammy Academy ilianzishwa mwaka 2021 kwa lengo la kuutangaza zaidi muziki wa afrika na wa kilatino.

Diamond Platnumz ameimba wimbo wake mpya ambao haujawahi kutoka kwa jina #Gidi.

Previous articleNicki Minaj:Sitaki Mtoto Wangu Awe Msanii
Next articleAmuua Mwenzake Sababu Ya Kioo
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here