Home BURUDANI Otile Brown Alazwa Hospitali

Otile Brown Alazwa Hospitali

262
0

Msanii Otile Brown amezua wasiwasi miongoni mwa mashabiki baada ya kutangaza kwamba ametoka kufanyiwa upasuaji hospitalini.

Otile brown amepachika picha katika mitandao ya kijamii ikimuonyesha kwenye machela akitolewa chumba cha upasuaji hospitalini na kuelekezwa kwenye chumba cha wagonjwa mahututi katika hospitali moja jijini Nairobi.

Otile Brown hajatoa maelezea zaidi kuhusu ugonjwa unaomsumbua lakini amewasistizia mashabiki kwamba yuko salama na anaendelea vizuri.

Previous articleEri Omondi: Siwezi Kuingia Kwenye Siasa
Next articleMercy Masika: Wanaume Wanahitaji Kuzungumziwa Kwa Heshima Ili Ndoa Zidumu
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here