Home BURUDANI Mercy Masika: Wanaume Wanahitaji Kuzungumziwa Kwa Heshima Ili Ndoa Zidumu

Mercy Masika: Wanaume Wanahitaji Kuzungumziwa Kwa Heshima Ili Ndoa Zidumu

244
0

Msanii wa nyimbo za injili Mercy Masika ametoa wito kwa wanawake walioko kwenye kwenye ndoa kuwaheshimu waume zao.

Mercy amesema kwamba wanaume wanahitaji kuzungumziwa kwa heshima inayostahili ili kuitunza ndoa.

Kulingana na Mercy ni kwamba ndoa nyingi zimevunjika kwa sababu ya wanawake kuwa na kiburi cha kupitiliza kwa waume zao.

Previous articleOtile Brown Alazwa Hospitali
Next articlePetra: Nimewahi Kushawishiwa Niabudu Shetani
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here