Home kwetu Azimia Baada Ya Mkewe Kuungana Na Mipango Yake Ya Kando Kum’surprise.

Azimia Baada Ya Mkewe Kuungana Na Mipango Yake Ya Kando Kum’surprise.

360
0

Mwanume mmoja huko jijini Nairobi amezimia baada ya mkewe kuungana na michepuko yake minne na kumuandalia surprise ya valentine.

Kelvin Waweru mwenye umri wa miaka 36 kwa sasa anaendelea na matibabu katika hospitali ya st joseph center huko westlands Nairobi baada ya kuzimia baada ya mkewe kupanga kisiri na michepuko wanne wa mumewe na kwa Pamoja kumsurprise na Lunchdate.

Kulingana na mke wa jamaa huyo Eunice Nkirothe ni kwamba aliwafuata wanawake wote wanne ambo wamekua na mahusiano na mumewe na wakapanga kuchanga pesa ili wampe jamaa huyo surprise treat ya valentine.

Hadi kufikia sasa Kelvin bado anaendelea na matibabu japo tayari asharudisha fahamu zake.

Previous articleKanye West Na Julia Fox : Je Mapenzi Yamekwisha?
Next articleDavido Atimiza Ahadi Aliyotoa Mwaka Jana
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here