Home HABARI BRAZIL: 94 Wafariki Katika Mafuriko Ya Ghafla HABARIkimataifa BRAZIL: 94 Wafariki Katika Mafuriko Ya Ghafla By admin - February 17, 2022 135 0 FacebookTwitterPinterestWhatsApp Watu 94 wamefariki katika mafuriko ya ghafla yaliyokumba mji mmoja wa Brazil kwa jina Petrópolis. Shughuli ya uokozi wa manusra bado inaendelea huku watu 24 wakithbitishwa kuokolewa ikifikia sasa.