Taifa la Marekani limepinga taarifa kwamba urusi imeanza kuondoa majeshi yake katika mpaka wake na taifa la Ukraine.
Taarifa rasmi kutoka uongozi wa rais Joe Biden, imedai taarifa za Urusi kuanza kuondoa majeshi yake kama za uongo ikishikilia kwamba kuna zaidi ya wanajeshi 7000 bado katika eneo la mpaka.