Home BURUDANI MI Abaga Azungumzia Ongezeko Imani Za Kishetani Nchini Nigeria

MI Abaga Azungumzia Ongezeko Imani Za Kishetani Nchini Nigeria

134
0

Msanii wa Nigeria MI Abaga amezua gumzo mitandaoni baada ya kudai kwamba ongezeko la vijana kujiingiza kwenye Imani za kishetani nchini Nigeria kunaletwa na ukosefu wa ajira.

MI anasema vijana sio wavivu kama inavyoaminika na wengi bali ni ukosefu wa kazi ndio unaowaskuma watafute njia za mkato ili kujitaftia utajiri.

MI ametoa wito kwa serikali ya Nigeria kujitahidi vilivyo kutafuta suluhisho la tatizo hilo kwa haraka saana kabala kizazi hakijapotea.

Previous articleAjiua Sababu Ya Ksh. 140
Next articleTekno Miles Atangaza Kurudi Kwenye Mziki
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here