Home BURUDANI NAHREEL AJIBU TUHUMA ZA KUWA NA MTOTO WA NJE YA NDOA. JE...

NAHREEL AJIBU TUHUMA ZA KUWA NA MTOTO WA NJE YA NDOA. JE NI KWELI?

117
0

 

Msanii na producer kutoka Bongo Flava Nahreel amejitokeza kukana madai kwamba ana mtoto wa nje ya mahusiano yake na mkewe wa sasa Aika.

Akijibu tuhuma hizo Nahreel amesema kwamba taarifa hizo zinazosambaa kwenye mitandao mbali mbali ni za uongo na zinalenga kumharibia mahusiano yake na mkewe.

Aika & Nahreel

Nahreel amesisitiza kwamba ana watoto wawili tu na mpenzi wake wa mda mrefu Aika ambaye pamoja wanaunda kundi la mziki la Navy Kenzo.

Previous articleHarmonize: Sasa Niiteni “Bakhresa”
Next articleMUIGIZAJI WA FILAMU AFARIKI AKIPIGANA NA URUSI
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here