Home BURUDANI DAVIDO AFICHUA SIRI YA KUJAZA UKUMBI LONDON. JE NI NINI?

DAVIDO AFICHUA SIRI YA KUJAZA UKUMBI LONDON. JE NI NINI?

95
0

 

Msanii Davido wa Nigeria ametaja kudra za mwenyezi mungu kama sababu kuu iliyopelekea kufanikiwa kwake kuujaza ukumbi wa 02 arena jijini London wikendi iliyopita katika tamasha lake.

Kupitia akaunti yake ya instagram Davido amesema kwamba mbali na uwezo wake kwenye mziki ilikua muujiza mkubwa kwa tiketi za tamasha hilo kuisha zote kinyume na alivyotarajia.

Kulingana na Davido ni kwamba tamasha hilo lilikumbwa na changamoto nyingi na kufanikiwa kwake haikuwa nguvu za mwanadamu.

Previous articleMUIGIZAJI WA FILAMU AFARIKI AKIPIGANA NA URUSI
Next articleADASA NDANI YA ALBUM MPYA YA KHALLIGRAPH
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here