Msanii Adasa ameelezea furaha yake baada ya kushirikishwa kwenye album mpya ya rapper Khaligraph Jones kwa jina “Invisible Currency”.
Adasa anasema uwepo wa sauti yake katika album hiyo ni jambo kubwa kwake, kwani itamfungulia njia nyingi zaidi katika safari yake ya mziki.