Home BURUDANI Jose Chameleone Akataa Kuhusishwa Katika Tuzo. Atoa Sababu

Jose Chameleone Akataa Kuhusishwa Katika Tuzo. Atoa Sababu

168
0

 

Msanii mkongwe kutoka Uganda Jose Chameleone amewashangaza wengi baada ya kudai kwamba hataki tena kuteuliwa kuwania baadhi ya tuzo za mziki nchini humo.

Kulingana na Chameleone ni kwamba amekuwa kwenye mziki kwa miaka mingi na kushinda tuzo nyingi saana na ni kumkosea heshima kama atawekwa kwenye tuzo ambazo atakua anashindana na  wasanii wachanga.

Chameleone hsts hivyo ametoa wito kwa waandaaji wa tuzo nchini humo kuwapa nafasi na kuwatambua zaidi wasanii wapya kila wanapoandaa tuzo.

Previous articleWilly Paul: Mimi Na Diamond Ndio Tunatangaza Mziki Vyema
Next articleBurna Boy Aandamwa Na Kashfa Mpya Mitandaoni
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here