Home BURUDANI Burna Boy Aandamwa Na Kashfa Mpya Mitandaoni

Burna Boy Aandamwa Na Kashfa Mpya Mitandaoni

178
0

 

Star wa mziki kutoka Nigeria Burna Boy anaandamwa na kashfa mpya baada ya mwanamke mmoja kutangaza kwamba hajamlipa pesa ya chakula alichomuuzia.

Kulingana na mwanamke mmoja kwenye mtandao Instagram anayejitambulisha kwa jina la kibiashara Bone And Fish ni kwamba Burna Boy alitangaza mitandaoni kwamba atamlipa mtu yoyote ambaye atamtayarishia chakula hicho maalum pauni 10,000 ambazo ni sawia na milioni  moja na nusu pesa ya Kenya.

Hata hivyo baada ya kutayarisha na kuwatumia chakula hicho hadi sasa Star huyo Pamoja na usimamizi wake haujamlipa pesa yake.

Previous articleJose Chameleone Akataa Kuhusishwa Katika Tuzo. Atoa Sababu
Next articleAliyepandikzwa Moyo Wa Nguruwe Afariki
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here