Home dunia Aliyepandikzwa Moyo Wa Nguruwe Afariki

Aliyepandikzwa Moyo Wa Nguruwe Afariki

164
0

 

Binadamu wa kwanza kuwahi kupandikizwa moyo wa nguruwe amefariki miezi miwili baada ya upasuaji.

David Bennett aliyekua na umri wa miaka 57 amefariki katika kituo cha kiafya cha chuo kikuu cha Maryland huku kiini cha kifo chake bado hakijawekwa wazi.

Marehemu alipandikizwa moyo wa nguruwe January 7 mwaka huu.

 

Previous articleBurna Boy Aandamwa Na Kashfa Mpya Mitandaoni
Next articleUjinga: Jamaa Apigia Polisi Wamthibitishie Kama Alichonunua Ni Mihadarati Halisi Ama Ghushi
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here