Home BURUDANI Tanasha Dona Asema Hawezi Hili Kuhusu Mapenzi

Tanasha Dona Asema Hawezi Hili Kuhusu Mapenzi

187
0

 

Msanii Tanasha Dona amezua gumzo mitandaoni baada ya kutangaza wazi kwamba hawezi ku share mwanamume mmoja na mwanamke mwengine katika maisha yake.

Tanasha Dona anasema licha kwamba dini yake inaruhusu swala la uke wenza, yeye hawezi kubali Maisha sampuli hiyo na anachotaka ni kuwa mke wa pekee kwa mume wake.

Kulingana na Tanasha ni kwamba mwanaume yoyote anayetaka kumuoa asahau kabisa wanawake wengine.

Previous articleStamina Amchana Young Killer. Kisa?
Next articleDavido Aonya Kuwashtaki Mashabiki Kwa Hili
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here