Home dunia Alazwa Hospitali Baada Kujizuia Kunyamba Kwa mda Mrefu

Alazwa Hospitali Baada Kujizuia Kunyamba Kwa mda Mrefu

108
0

 

Star mmoja wa mziki nchini Brazil amezua gumzo katika mitandao ya kijamii nchin humo, baada ya kubainika kwamba alilazimika kulazwa hospitali, baada ya kupata matatizo ya tumbo yaliyosababishwa na hatua yake ya kujizua kunyamba kwa mda mrefu.

Mrembo Viviane De Queiroz anasemekana kujizuia kunyamba mbele ya mpenzi wake kwa mda mrefu na kupelekea gesi kujaa tumboni mwake, hali iliyosababisha maumivu makali yaliyomlazimisha kufikishwa hospitalini ambapo alilazwa mara moja.

Akithibitisha tukio hilo, mrembo Viviane amewahakikishia mashabiki wake kwamba kwa sasa anaendelea vizuri na matibabu akiendelea kupata nafuu.

Previous articleDavido Aonya Kuwashtaki Mashabiki Kwa Hili
Next articleMegan Thee Stallion Ashatakiwa Na Record Label Anayotaka Kuihama
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here