Home dunia Watumia Kifaa Kupunguza Bei Za Mafuta Kisiri Katika Petrol Stations

Watumia Kifaa Kupunguza Bei Za Mafuta Kisiri Katika Petrol Stations

157
0

Watu 4 wamenaswa na polisi nchini Marekani baada ya kutumia kifaa maalum kupunguza bei ya mafuta katika vituo vya uuzaji mafuta ya gari, ili wananchi wanunue mafuta kwa bei ya chini.

Kifaa hicho maarufu kwa jina ‘pulsators’ kina uwezo wa kubadli bei katika mashini za kujaza mafuta bila ya wahudumu kujua.

Wanne hao wanatuhumiwa kutekeleza uhalifu huo katika jimbo la Florida wakati ambapo dunia inashuhudiwa kupanda kwa bei zamafuta na idara ya polisi nchini Marekan inasema watafikishwa mahakamani kujibu mashataka ya wizi.

Previous articleOtile Brown Anunua Kiatu Cha Shilingi 80,000
Next articleRoma:Wasanii Wa Kuimba Wengi Wao Ni Wavivu
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here