Home BURUDANI Nandy:Naogopa Kufa

Nandy:Naogopa Kufa

222
0

Msanii wa mziki wa kizazi kipya kutoka Tanzania Nandy amezua gumzo baada ya kufichua kwamba karibuni ameingiwa na uoga wa kufariki kupindukia.

Nandy anasema kwa mda sasa akili yake imekua ikisumbuka na fikra zinazojenga picha ya jinsi msiba wake utakavyokua iwapo atafariki leo.

Nandy majuzi alitoa video ya wimbo wake mpya kwa jina “Siwezi” ambapo kuna sehemu anaonekana akiwa kwenye jeneza akiwa amefariki.

Previous articleRoma:Wasanii Wa Kuimba Wengi Wao Ni Wavivu
Next articleRayvanyy Bingwa Wa Boomplay Streams E.Africa
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here