Star wa mziki kutoka Tanzania Harmonize amesalia na upweke tena baada ya mpenzi wake raia wa Australia kwa jina maarufu Biana kutangaza kuachana naye.
Kupitia insta story yake mrembo huyo ameweka wazi kwamba ni kweli hayuko tena kwenye mahusiano na Harmonize huku akimtakia star huyo na kumtakia maisha bora ya baadaye.
Briana hata hivyo hakutaja sababu maalum iliyosababisha wawili hao ila amemshukuru Harmonize kwa mda wote waliokua pamoja