Home BURUDANI Wizkhalifa: Nimechokeshwa Na Tabia Hi Ya Mashabiki Wangu

Wizkhalifa: Nimechokeshwa Na Tabia Hi Ya Mashabiki Wangu

147
0

 

Rapa Wizkhalifa toka Marekani ameonyeshwa kukerwa na mashabiki wenye tabia ya kumvizia kila mahali anapokwenda.

Kupitia kipande cha video kinachotrend mitandaoni, khalifa anasikika akilalamika kuwa mashabiki wanamnyima uhuru wake kama binadamu mwengine akiwasihi wamuache awe huru.

Wizkhalifa anasema mashabiki hao wamekua kero kwani wanachomfuatia nikutaka picha na yeye kila mara jambo ambalo linamnyima raha.

Previous articleDiamond Platnumz Aonyesha Zawadi Kutoka Kwa “Mapenzi” Wake
Next articleChameleone: Mimi Ndiye Msanii Bora Uganda
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here