Home BURUDANI Chameleone: Mimi Ndiye Msanii Bora Uganda

Chameleone: Mimi Ndiye Msanii Bora Uganda

117
0

 

Msanii mkongwe wa mziki kizazi kipya kutoka Uganda Jose Chameleone amezua gumzo baada ya kujitangaza kwamba yeye ndiye msanii Bora nchini humo.

Chameleone ametaja orodha ya wasanii ambao wanafanya vizuri kwa sasa ila akaongeza kwamba hakuna miongoni mwao ambaye ameweza kufikia viwango vyake.

Kulingana na Chameleone ni kwamba wasanii ambao wamejaribu kufikia viwango vyake vya kimuziki ni Bebe Cool, Bobi Wine, Eddy Kenzo na Weasel ila bado wana kibarua Kizito kuzivunja rekodi zake.

Previous articleWizkhalifa: Nimechokeshwa Na Tabia Hi Ya Mashabiki Wangu
Next articleKanye West Apinga Orodha Mpya Ya Matajiri Duniani. Sababu Ni Hii
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here