Mchungaji mmoja amefariki nchini Nigeria wakati akijaribu kukemea mapepo katika kanisa lake.
mchungaji huyo kwa jina Francis Oluwole Ogunnusi alianguka ghafla madhabahuni wakati akiombea waumini waliofka mbele zake kutolewa mapepo katika jimbo la Ogun.
Katika kipande cha video ambacho kinasambaa katika mitandao ya kijamii, mchungaji huyo anaonekana akidondoka ghafla mbele ya waumini waliofika mbele yake kuombewa akiwa katikaktiya maombi akikemea mapepo na nguvu za kichawi.