Home BURUDANI Ruby: Natamani Kufariki

Ruby: Natamani Kufariki

101
0

 

Msanii Ruby kutoka Tanzania amezua wasiwasi miongoni mwa mashabiki wake baada ya kusema kwamba anatamani kufa.

Kupitia akaunti yake ya mtandao wa Instagram, Ruby aaliandika kwamba anatamani kufariki ili akapumzike madhila ya dunia.

Hadi sasa haijabainika kilichopelekea star huyo kuweka ujumbe huo amaboa aliufuta baada ya mda mfupi.

Previous articleMchungaji Afariki Akikemea Mapepo Kanisani
Next articleUnatafuta Kazi Rahisi? Anataka Kuajiri Mchekeshaji Binafsi 24hrs.
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here