Home BURUDANI Jennifer Lopez Na Ben Affleck Wafanya Hili Kisiri

Jennifer Lopez Na Ben Affleck Wafanya Hili Kisiri

95
0

 

Msanii Jennifer Lopez anaripotiwa kufunga ndoa ya kisiri na mpenzi wake Ben Affleck katika jimbo la Las Vegas nchini marekani wikendi.

Jennifer Lopez mwenye umri wa miaka wa 52 ameolewa na Ben Affleck mwenye umri wa miaka 49, kwenye sherehe za siri siku ya Jumapili na tayari wamepata cheti chao cha ndoa.

Ben and Jen waliwahi kuwa wapenzi kati ya mwaka 2002 na 2004 walipoachana na walirudiana mwaka mmoja uliopita na kuvishana pete ya uchumba mapema mwaka huu mwezi April.

Previous articleWanasayansi Watengeneza Misuli Bandia Kwa Matumiz Ya Binadamu
Next articleKing Saha Ajinunulia Zawadi Ya Bei Ghali.
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here