Home dunia Apewa “Tip” Ya 300,000/= Baada Ya Kumhudumia Mteja Aliyekula “Bill” Ya 1,500/=

Apewa “Tip” Ya 300,000/= Baada Ya Kumhudumia Mteja Aliyekula “Bill” Ya 1,500/=

153
0

 

Mhudumu mmoja wa hoteli amegonga vichwa vya habari baada ya kupewa “tip”/bakshishi/kiiunua mgongo cha dola elfu 3 ambazo ni sawa na zaidi ya shilingi laki tatu pesa za Kenya, alipomhudumia mteja moja, katika hoteli moja mji wa Scranton, jimbo la Pennsylvania nchini Marekani.

Mhudumu huyo kwa jina Mariana Lambert amethibitisha kupewa hela hizo na mteja mmoja baada ya mteja kulipia “bill” yake ambayo ilikua ni dola 13 tu, ambazo ni sawa na shilingi 1500 pesa za Kenya.

Meneja wa hoteli ilibidi azungumze na mteja aliyetoa “tip” hiyo kwa mhudumu, kuhakikisha kwamba hajatoa kimakosa, ambapo mteja alithibitisha aliridhia kumpatia mhudumu husika hela hizo, baada ya kuridhika na huduma zake.

Previous articleJustin Bieber Arudi Kutumbuiza Mashabiki
Next articleMaajabu:Wabidili Gurudumu La Gari Likiwa Bado Linaenda.
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here