Home dunia Maajabu:Wabidili Gurudumu La Gari Likiwa Bado Linaenda.

Maajabu:Wabidili Gurudumu La Gari Likiwa Bado Linaenda.

167
0

 

Jamaa wawili raia wa Italia wamengia katika vitabu vya rekodi za dunia baada ya kufanikiwa kubadilisha tairi la gari wakati gari likiwa linaenda kwa kasi.

Manuel Zoldan na Gianluca Folco walifanikiwa kubadili tairi ya gari lao aina ya BMW 3-Series likiwa linaenda kwa muda wa dakika moja na sekunde 17.

Kulingana na wawekaji rekodi za dunia, wawili hao wamevunja rekodi ya awali ambayo ilikua ni dakika moja na sekunde 30.

Previous articleApewa “Tip” Ya 300,000/= Baada Ya Kumhudumia Mteja Aliyekula “Bill” Ya 1,500/=
Next articleUtafiti: Ulaji Ndizi Unaimarisha Afya Ya Moyo
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here