Home fahamu Wanasayansi Wavumbua Njia Ya Kutengeneza Mbao Katika Maabara, Bila Ya Kukata Mti...

Wanasayansi Wavumbua Njia Ya Kutengeneza Mbao Katika Maabara, Bila Ya Kukata Mti Wowote.

138
0

 

Kikosi cha wanasayansi wamevumbua mbinu mpya ya kutengeneza mbao katika maabara bila ya haja ya kukata mti.

Katika ripoti yao, wanasayansi wameeleza kuwa pia mbali kuvumbua mbinu ya kukuza mbao katika maabara, pia mbao hizo zinaweza kukuzwa katika muundo wowote unaotakikana na kufungua uwezo mkubwa katika swala la utumizi wa mbao kwa mahitaji tofauti ya bainadamu bila ya kukata miti na kulinda mazingira.

Wanasayansi wameeleza kuwa walitumia seli ya mti kwa jina Common zinnia (Zinnia elegans) na kuzichanganya na kemikali zengine walizotengeneza katika maabara na waligundua seli ziliongezeka na kujitengenezea mbao inayoweza kutumika kwa ujenzi.

Previous articleUtafiti: Umiliki wa Simu Unasaidia Mtu Kukumbuka Vitu Zaidi.
Next articleWanasayansi Wafanikiwa kufufua Viungo Vya Nguruwe Aliyefariki Saa Moja Baadae.
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here