Home BURUDANI Naomi Osaka Apinga Kutengana Na Mpenzi Wake.

Naomi Osaka Apinga Kutengana Na Mpenzi Wake.

108
0

 

Mchezaji Tennis maarufu duniani kwa upande wa akina dada Naomi Osaka amepinga madai kwamba amekosana na mpenzi wake wa mda mrefu kwa jina Cordae.

Mapema wiki hii kumekua na uvumi katika mitandao ya kijamii kuhusu kukosana kwao, jambo lililompelekea kuzungumzia swala hilo kupitia akaunti yake ya twitter.

Naomi amezikejeli taarifa hizo kwa kusambaza picha akiwa na Cordae wakitazama simu moja na kusema kuwa yeye na mpenzi wake pia wanazifuatailia taarifa hizo katika mitandao ya kijamii.

Previous articleAfariki Baada Ya Kulala Na Simu Kitandani.
Next articleNe-Yo Aombwa Talaka.
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here