Home dunia Wasayansi Wamuona Ndege Ambaye Hajawahi Kuonekana Kwa Miaka 140.

Wasayansi Wamuona Ndege Ambaye Hajawahi Kuonekana Kwa Miaka 140.

121
0

Ndege mmoja ambaye alikua hajawahi kuonekana na wanasayansi kwa miaka 140 ameripotiwa kuonekana nchini Papua New Guinea.

Ndege huyo mwenye muonekano wa njiwa kwa jina Black-Naped Pheasant-Pigeon alioripotiwa kuonekana mara ya mwisho mwaka wa 1882.

Kikosi cha wanasayansi walifunga safari hadi nchini Papua New Guinea kuthibitisha madai ya kuonekana kwa ndege huyo, ambaye tayari alikua ametangazwa kama kiumbe kilichofariki kumalizika na kupotea kabisa duniani.

Previous articleKitabu Kikubwa Zaidi Duniani
Next articleMbwa Mzee Zaidi Duniani.
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here