Home dunia Maiti Ya Kitwa Club Usiku Katika Sherehe Za Kuuaga Mwili

Maiti Ya Kitwa Club Usiku Katika Sherehe Za Kuuaga Mwili

373
0


Mkahawa mmoja umegonga vicha vya habari nchini Marekani baada ya kuandaa show ya msanii aliyefariki majuzi kama njia moja ya kumuenzi.

Mwili wa marehemu rapper chipkiz kwa jina Goonew ulisimamishwa katika jukwa la kutumbuiza mithili ya wasanii wanapotumbuiza na nyimbo zake kuchezwa huku mashabiki wakiruhusiwa kucheza na kufurahia mziki kama show ya kawaida.

Mwili wa marehemu ulivalishwa nguo zake alizopenda kuvaa anapotumbuiza, kabla ya kukitwa na kusimamishwa mbele ya umati uliofika kwa show yake.

Previous articleSis P Afikiria Kuhamia Mziki Wa Gospel.
Next articleMama Dangote Amtaka Diamond Afunge Ndoa Atulie Sasa
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here