Home BURUDANI Burna Boy Azidi Kupeta Na Rekodi Za Bara Afrika.

Burna Boy Azidi Kupeta Na Rekodi Za Bara Afrika.

171
0

 

Msanii Burna Boy wa nchini Nigeria anaendelea kuandikisha rekodi mpya katika ulimwengu wa mziki barani Afrika na tour yake ya ‘Love, Damini’ ambayo inaendelea nchini Marekani kwa sasa.

Burna Boy amekua akiweka historia ya kujaza kumbi na sehemu anapokwenda kutumbuiza na hivi punde ameweka rekodi mpya baada kujaza mashabiki zaidi ya 20,000 katika ukumbi kwa jina Farm Arena jimbo la Atlanta nchini Marekani.

Previous articleBennifer: Hatimaye Ushahidi Wa Jennifer Lopez Na Ben Affleck Kufunga Ndoa Wachipuka.
Next articleMwanamke Asafiri Na Ing’e 18 Bila Kujua.
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here