Friday, September 20, 2024
Home Authors Posts by admin

admin

288 POSTS 0 COMMENTS
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

Jason Derulo Ampiga Shabiki Aliyemuita Usher Badala Ya Jina Lake

0
Star wa muziki wa RnB Jason Derulo anashikiliwa na polisi baada ya kuwapiga wanaume wawili huko Las Vegas baada ya wanaume hao kumuita Usher. Kulingana...

Rosa Ree Awachana Watu Maarufu Wanaojiingiza Katika Mziki.

0
Rapper Rosa Ree kutoka Tanzania amewaponda watu maarufu ambao wanajitosa katika mziki kisa wana wafuasi wengi kwenye akaunti zao za mitandao ya kijamii. Rosa Ree...

Marioo:Kauli Ya Shabiki Ndio Kipimo Halisi Kwa Msanii.

0
Msanii kutoka Tanzania Marioo anasema kauli za mashabiki pekee ndio kipimo halisi cha msanii kujua kama anafanya vizuri au la katika soko la mziki. Marioo...

Mchungaji Apigwa Na Waumini Baada Ya Kuwashurutisha Kutoa Sadaka.

0
Mchungaji mmoja huko Embu anauguza majeraha mabaya baada ya kuambulia kipigo kutoka kwa waumini wake kisa aliwaamuru kila mmoja atoe sh 4,200 ili awafungulie...

Vita Vya Maneno Vya Zuka Baina Ya Mr. Seed Na Ringtone.

0
Msanii wa mziki wa injili Mr Seed amemtaka msanii mwenza Ringtone kukoma kuwakashifu wasanii wenzake kwenye mitandao na atafute mke aoe na kutulia. Mr. Seed...

Don Jazzy Asema Huenda Asioe Kabisa Maishani.

0
Producer nguli wa mziki kutoka Nigeria Don Jazzy amezua gumzo kwa mara nyingine tena baada ya kusema kwamba huenda asioe kabisa katika maisha yake...

Chuo Cha Toa Mafunzo Ya Jinsi Ya Kula, Kunywa Na Kuishi...

0
Chuo moja kikuu nchini Ufaransa kimezua gumzo baada ya kutangaza kuanzishwa kwa masomo ya master’s degree katika mafunzo ya unywaji pombe, ulaji chakula na...

Wanafunzi Waghushi Vipimo Vya Corona Ili Wasiende Shule

0
Wizara ya elimu nchini Uingereza imetahadharisha wazazi nchini humo kuhusu tabia mpya ya watoto nchini humo kughushi vipimo vya ugonjwa wa corona ili waruhusiwe...
5,201FansLike
2,079FollowersFollow
8,262FollowersFollow
4,130SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS