admin
Abiria Ajinyelea: Ndege Yalazimika Kutua Ghafla.
Ndege moja ya abiria nchini Marekani imelazimika kutua kwa ulazima baada ya abiria kujinyelea ndani ya ndege hio.
Kulingana na taarifa nchini Marekani, ndege aina...
Ashikwa Na Minyoo Ya Ubongo. Atolewa Ukiwa Hai.
Mwanamke mmoja raia wa Australia amekua binadamu wa kwanza kutolewa mnyoo ulio hai kutoka kwa ubongo wake na kuendelea kuishi.
Mwanamke huyo mwenye umri wa...
“Tasnia Ya Mziki Pwani Imejaa Washikadau Wavivu” – Amz
Producer mkongwe wa mziki kutoka ukanda wa pwani Amz ametoa changamoto kwa washikadau tofauti wa tasnia ya mziki kanda ya pwani kuacha uvivu na...
“Dancehall Kama Mziki, Bado Haujafifia. Unaofifia Ni Mziki Wa Jamaica” –...
Mkereketwa wa mziki wa Dancehall kutoka ukanda wa pwani Vincent Kras anadai kuwa mziki wa Dancehall bado haujadorora kama wengi wanavyodai, bali mziki wa...
VISIMA SOKONI
Mwakilishi wadi ya Sokoni, eneo bunge la Kilifi Kaskazini kaunti ya Kilifi Ray Mwaro, anasema tatizo la maji linalokumba wakazi wa eneo hilo litapata...
MUSA UKAME
Mshirikishi wa mamlaka ya kudhibiti ukame NDMA kaunti ya Tana River Abdi Musa anasema wakazi zaidi ya elfu 120 kaunti hiyo wanahitaji chakula cha...
USALAMA WATOTO
Idara inayosimamia maswala ya watoto eneo la bunge la Kilifi Kaskazini kaunti ya Kilifi inawataka wazazi kuhakikisha wanawalinda watoto wao wakati huu wa likizo...
POMBE KILIFI
Polisi wa eneo bunge la Kilifi Kaskazini kaunti ya Kilifi wanamenasa pombe haramu yenye thamani ya shilingi milioni 2.
Kulingana na kaimu kamishina kaunti ya...
WANAHARAKATI MAFUNZO
Mwenyekiti wa mashirika yasiyokuwa ya kiserikali kaunti ya Tana River Daud Dhahir anasema vijana wengi kaunti hiyo wanashindwa kuendeleza uanaharakati kwa sababu ya mtazamo...
MAZISHI TANA
Gavana wa kaunti ya Tana River Dhadho Godhana amejitenga na madai kwamba ameidhinisha mwanasiasa atakayemrithi katika uchaguzi wa mwaka 2027.
Akiongea katika hafla ya mazishi...