Home dunia Tajiri Akataa Kurithisha Familia Mali Yake. Utajiri Wake Aachia “Mungu”.

Tajiri Akataa Kurithisha Familia Mali Yake. Utajiri Wake Aachia “Mungu”.

78
0

Tajiri mmoja ameshangaza wengi baada ya kufichua kuwa mali yake yote anayomiliki hatairithisha wanafamilia yake, bali ataachia “Mungu”.

David Green mwenye umri wa miaka 80, anamiliki kampuni moja kwa jina Hobby Lobby inayomiliki zaidi ya maduka 1000 katika majimbo 47 nchini Marekani na yenye thamani ya dola za kimarekani $6.4 billion.

Green anasema mungu ndiye mmiliki halisi wa mali na utajiri wote duniani na hataki familia yake kurithi utajiri wake wowote bali mungu pekee.

Previous articleWansayansi Wagundua Njia Ya Kutabiri Kifo Cha Binadamu Kwa Kuchunguza Mwendo Wake.
Next articleWavutaji Wafika Mahakamani Wakidai Bangi Waliyouziwa Haina Stimu. Wanataka Kulipwa.
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here